Kanisa Katoliki la Kisiria
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kanisa Katoliki la Kisiria (kwa Kiaramu ܥܕܬܐ ܣܘܪܝܝܬܐ ܩܬܘܠܝܩܝܬܐ, ʿīṯo suryaiṯo qaṯolīqaiṯo) ni mojawapo kati ya madhehebu ya Ukristo wa mashariki yenye ushirika kamili na Papa na Kanisa Katoliki lote.
Maelezo zaidi Imani, Muundo ...
Funga
Linafuata mapokeo ya Antiokia na kutumia liturujia ya Antiokia.
Patriarki wake ni Mor Ignatius Joseph III Younan tangu mwaka 2009. Makao yake ni Beirut nchini Lebanon.