Kaangao
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kaangao ni wanyama wa oda Xiphosura katika ngeli Merostomata. Hawa ni kheliserata wakubwa sana.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Kaangao | ||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Kaangao wa Atlantiki (Limulus polyphemus) | ||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||
| ||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||
Nusuoda 2:
| ||||||||||
Funga