![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/c9/Julia_Roberts_Cannes_2016_3.jpg/640px-Julia_Roberts_Cannes_2016_3.jpg&w=640&q=50)
Julia Roberts
From Wikipedia, the free encyclopedia
Julia Fiona Roberts (alizaliwa 28 Oktoba 1967) ni mwigizaji wa filamu kutoka Marekani, aliyepata umaarufu baada ya kuigiza kwenye filamu Pretty Woman mnamo 1990.
Ukweli wa haraka Julia Roberts ...
Julia Roberts | |
---|---|
| |
Jina la kuzaliwa | Julia Fiona Roberts |
Alizaliwa | Oktoba 28 1967 (1967-10-28) (umri 56) ![]() Marekani |
Kazi yake | Mwigizaji Mtayarishaji |
Miaka ya kazi | 1987 - hadi leo |
Ndoa | Lyle Lovett (m. 1993–1995) «start: (1993)–end+1: (1996)»"Marriage: Lyle Lovett to Julia Roberts" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Julia_Roberts) Daniel Moder (m. 2002–present) «start: (2002)»"Marriage: Daniel Moder to Julia Roberts" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Julia_Roberts) |
Watoto | 3 |
Wazazi | Betty Lou Bredemus |
Funga
Julia Roberts ameshinda tuzo tatu za Golden Globes na moja ya Academy Award kwa uigizaji wake wa filamu ya Erin Brockovich.
Filamu alizoigiza Julia Roberts zimeleta mapato yanayozidi $ bilioni 2.8.