Judo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Judo (jap. 柔道 jūdō) aina ya michezo ya mapigano kutoka nchini Japan iko pia kati ya michezo ya Olimpiki.[1] Ilianzishwa mwaka 1882 na Jigorō Kanō.[2] Mieleka inashindaniwa kimataifa leo na judo ndiyo aina inayoshindaniwa zaidi kimataifa ya mieleka jaketi.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/0/06/Judo_Morote_Seoi_Nage_by_Bryan_small.gif/270px-Judo_Morote_Seoi_Nage_by_Bryan_small.gif)
Judo ni mchezo wa kifalsafa unaoathiriwa na mafundisho ya Ubuddha. kati ya misingi yake si kumshambulia mpinzani lakini kutumia nguvu ya mpinzani kw kumshinda.[3]