Jimmy Carter
Rais wa Merika kutoka 1977 hadi 1981 / From Wikipedia, the free encyclopedia
James Earl Carter, Jr (amezaliwa 1 Oktoba 1924) alikuwa Rais wa 39 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1977 hadi 1981. Kaimu Rais wake alikuwa Walter Mondale.
Ukweli wa haraka 39 Rais wa Marekani, Makamu wa Rais ...
Jimmy Carter | |
Muda wa Utawala January 20, 1977 – January 20, 1981 | |
Makamu wa Rais | Walter Mondale |
mtangulizi | Gerald Ford |
aliyemfuata | Ronald Reagan |
chama | Democratic |
ndoa | Rosalynn Smith (m. 1946–present) «start: (1946-07-07)»"Marriage: Rosalynn Smith to Jimmy Carter" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Jimmy_Carter) |
makazi | Plains, Georgia, Marekani |
dini | Ukristo |
signature |
Funga