Jimbo la Somali
From Wikipedia, the free encyclopedia
Jimbo la Somali (kwa Kisomali: Gobolka Soomaalida) ni moja ya majimbo 11 ya kujitawala ya Ethiopia.
Ukweli wa haraka Nchi, Mji mkuu ...
Gobolka Soomaalida Jimbo la Somali |
|||
| |||
Mahali pa jimbo la Somali katika Ethiopia | |||
Nchi | Ethiopia | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Jijiga | ||
Eneo | |||
- Jumla | 279,252 km² | ||
Idadi ya wakazi (2001) | |||
- Wakazi kwa ujumla | 4.329.000 |
Funga
Idadi ya wakazi wake ni takriban 4.329.000.
Makao makuu ni Jijiga.