Jimbo la Gombe
jimbo nchini Nigeria From Wikipedia, the free encyclopedia
jimbo nchini Nigeria From Wikipedia, the free encyclopedia
Jimbo la Gombe liko kaskazini mwa Nigeria, ni mojawapo ya majimbo 36 ya nchi hii; mji mkuu wake ni Gombe.
Jimbo la Gombe Jina la Utani la Jimbo: Mkufu katika Savannah | ||
Mahali lililoko | ||
---|---|---|
Takwimu | ||
Gavana (Orodha) |
Mohammed Danjuma Goje (PDP) | |
Tarehi lilipoanzishwa | 1 Oktoba 1996 | |
Mji mkuu | Gombe | |
Eneo | 18,768 km² Kuorodheshwa-21 | |
Idadi ya Watu 2006 makadirio | Limeorodheshwa nambari 33 2,353,000 | |
GDP (PPP) -Jumla -Per Capita |
2007 (kadirio) $ 2.50 bilioni [1] $1,036[1] | |
ISO 3166-2 | NG-GO |
Jimbo la Gombe, ambalo jina lake la utani ni 'Mkufu katika Savannah', liliundwa Oktoba 1996 kutoka katika sehemu ya kale ya Jimbo la Bauchi na serikali ya kijeshi ya Abacha. Jimbo hili lina ukubwa wa eneo la 20,265 km ² na jumla ya idadi ya watu karibu 2,353,000 kulingana na 2006. [2] Kati ya idadi yote ya watu, takriban 7.8% ni wameambukizwa HIV[3]
Gombe imegawanywa katika Maeneo ya Serikali za Mitaa takribani kumi na moja. Nayo ni:
|
|
|
Wakaazi wa Jimbo la Gombe ni haswa watu wa kabila la Fulani.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.