IsimuFrom Wikipedia, the free encyclopedia Isimu (au "maarifa ya lugha") ni sayansi inayochunguza lugha. Imegawiwa katika matawi mbalimbali: fonetiki kuhusu sauti zinazotolewa na binadamu fonolojia kuhusu mfumo wa sauti katika lugha fulani mofolojia kuhusu mfumo wa maneno sintaksi kuhusu mfumo wa sentensi semantiki kuhusu maana isimujamii kuhusu uhusiano kati ya lugha na jamii
Isimu (au "maarifa ya lugha") ni sayansi inayochunguza lugha. Imegawiwa katika matawi mbalimbali: fonetiki kuhusu sauti zinazotolewa na binadamu fonolojia kuhusu mfumo wa sauti katika lugha fulani mofolojia kuhusu mfumo wa maneno sintaksi kuhusu mfumo wa sentensi semantiki kuhusu maana isimujamii kuhusu uhusiano kati ya lugha na jamii