ImpfondoFrom Wikipedia, the free encyclopedia Impfondo ni mji uliopo katika Jamhuri ya Kongo, mkoa wa Likouala. Mwaka 2007 idadi ya watu ilikadiriwa kuwa 33,911 [1].
Impfondo ni mji uliopo katika Jamhuri ya Kongo, mkoa wa Likouala. Mwaka 2007 idadi ya watu ilikadiriwa kuwa 33,911 [1].