![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/e/e5/Cairo_Marriott_Hotel.jpg/640px-Cairo_Marriott_Hotel.jpg&w=640&q=50)
Hoteli Cairo Marriott
From Wikipedia, the free encyclopedia
Hoteli ya Cairo Marriott ni hoteli kubwa iliyoko kando ya Mto Nile katikati mwa Cairo, Misri. Wakati mmoja jengo hili lilikuwa ikulu iliyojengwa kufuatia amri kutoka kwa mtawala wa Misri katika 1869, hoteli hiiilibadilishwa hadi hoteli ya kisasa Marriott International. Hoteli hii ina vyumba 1,089, na kuifanya moja ya hoteli kubwa katika Mashariki ya Kati.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/9b/Cairo_Marriott_Hotel_Zamelek_Tower.jpg/640px-Cairo_Marriott_Hotel_Zamelek_Tower.jpg)
Ukweli wa haraka Location, Management ...
Hoteli Cairo Marriott na Kasino ya Omar Khayya | |
---|---|
![]() | |
sehemu ya mbele ya kuingilia katika Hoteli Cairo Marriott | |
Location | Cairo, Egypt |
Management | Marriott International |
Rooms | 1,089 |
Floors | 20 |
Website | www.cairomarriotthotel.com |
Funga
Vyumba vyenyewe viko katika majumba mawili ya kufanana kila na ghorofa ishirini - Majumba ya Gezira na Zamelek Towers. Katikakati yazo kwenye ardhi bapa ni jumba ikulu ndio kiingilio kikuu cha hoteli, ambayo sasa in\lijengwa ili iwe na maeneo ya makaribisho na ya utawala. Juu ya paa la ikulu ni sehemu maonyesho ya sinema yenye uwazi inayoangaliana na Nile.