HoseaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Hosea (kwa Kiebrania הושע, hoshè'a, yaani "Wokovu") alikuwa nabii katika ufalme wa Israeli (Kaskazini) katika miaka 750 - 725 KK hivi. Picha ya nabii Hosea ya karne ya 18, monasteri ya Kizhi, Karelia, Russia. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Oktoba[1].
Hosea (kwa Kiebrania הושע, hoshè'a, yaani "Wokovu") alikuwa nabii katika ufalme wa Israeli (Kaskazini) katika miaka 750 - 725 KK hivi. Picha ya nabii Hosea ya karne ya 18, monasteri ya Kizhi, Karelia, Russia. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Oktoba[1].