Wataalamu wa leo hutofautiana kama Homeri alikuwa kweli mtunzi wa mashairi hayo au kama ni sehemu za mashairi haya tu yaliyotungwa naye wakiamini ya kwamba kwa jumla ni mashairi ya kale yaliyowahi kuimbwa kabla yake. Pia kuna wataalamu wanaouliza kama Homeri alikuwa mtu wa kihistoria au kama ni jina tu lililopachikwa kwa mashairi haya.
Kufuatana na mapokeo ya kale Homeri alikuwa mshairi kipofu aliyeishi katika eneo la Ionia (Asia Ndogo) lililokaliwa na waloweziWagiriki mnamo karne ya 8 KK. Miji mbalimbali ya Ionia hutajwa kama mahali pa kuzaliwa kwake. Jina la mama yake lilikuwa Kreitheïs. Anasemekana alikufa kwenye kisiwa cha Ios.
Morris, Ian; Powell, Barry B., whr. (1997). A New Companion to Homer. Leiden: Brill. ISBN90-04-09989-1.
Nikoletseas, M. M. ( 2012). The Iliad - Twenty Centuries of Translation. ISBN 978-1469952109
Powell, Barry B. (2007). Homer (tol.la2nd). Malden, MA; Oxford, UK; Carlton, Victoria: Wiley-Blackwell. ISBN978-1-4051-5325-6.
Vidal-Naquet, Pierre (2000). Le monde d'Homère (kwa French). Paris: Perrin. ISBN2-262-01181-8.{{cite book}}: Invalid |ref=harv (help)CS1 maint: unrecognized language (link)
Wace, A.J.B.; F.H. Stubbings (1962). A Companion to Homer. London: Macmillan. ISBN0-333-07113-1.
Maandiko muhimu juu ya Homer
Auerbach, Erich (1953). "Chapter 1". Mimesis: The Representation of Reality in Western Literature. Princeton: Princeton University Press. ISBN0-691-11336-X. (orig. publ. in German, 1946, Bern)
J. Latacz (gen. ed.) 2002–, Homers Ilias. Gesamtkommentar. Auf der Grundlage der Ausgabe von Ameis-Hentze-Cauer (1868–1913) (6 volumes published so far, of an estimated 15), Munich/Leipzig. ISBN 3-598-74307-6, ISBN 3-598-74304-1
N. Postlethwaite (ed.) 2000, Homer's Iliad: A Commentary on the Translation of Richmond Lattimore, Exeter. ISBN 0-85989-684-6
M. M. Nikoletseas, 2012, The Iliad - Twenty Centuries of Translation.. ISBN 978-1469952109
M.W. Willcock (ed.) 1976, A Companion to the Iliad, Chicago. ISBN 0-226-89855-5
P. Jones (ed.) 1988, Homer's Odyssey: A Commentary based on the English Translation of Richmond Lattimore, Bristol. ISBN 1-85399-038-8
I.J.F. de Jong (ed.) 2001, A Narratological Commentary on the Odyssey, Cambridge. ISBN 0-521-46844-2
Kuhusu tarehe za mashairi yake
Janko, Richard (1982). Homer, Hesiod and the Hymns: Diachronic Development in Epic Diction. Cambridge Classical Studies. Cambridge: Cambridge University Press. ISBN0-521-23869-2.{{cite book}}: Invalid |ref=harv (help)
Homer; Murray, A.T. The Iliad with an English Translation (kwa Ancient Greek na English). Juz.laI, Books I-XII. London; New York: William Heinemann Ltd.; G.P. Putnam's Sons; Internet Archive.{{cite book}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
Daitz, Stephen (reader). "Homer, Iliad, Book I, lines 1-52". Society for the Reading of Greek and Latin Literature (SORGLL). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-05-11. Iliwekwa mnamo 2015-07-04.
Bassino, Paola (2014). "Homer: A Guide to Selected Sources". Living Poets: a new approach to ancient history. Durham University. Iliwekwa mnamo Novemba 18, 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Homer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Wikiwand in your browser!
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.