Historia ya KenyaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Historia ya Kenya inahusu eneo la Afrika Mashariki ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Kenya. Historia ya Kenya kama nchi inayokaliwa na binadamu, inaenea miaka laki kama si milioni kadhaa. Kumbe historia yake kama nchi huru ni fupi.
Historia ya Kenya inahusu eneo la Afrika Mashariki ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Kenya. Historia ya Kenya kama nchi inayokaliwa na binadamu, inaenea miaka laki kama si milioni kadhaa. Kumbe historia yake kama nchi huru ni fupi.