![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/93/Saadani_beach.jpg/640px-Saadani_beach.jpg&w=640&q=50)
Hifadhi ya Taifa ya Saadani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Hifadhi ya Saadani ni mojawapo kati ya hifadhi za taifa la Tanzania, ya 13 kutangazwa (2005) na ya pekee kupatikana kwenye Bahari ya Hindi[1]
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/93/Saadani_beach.jpg/640px-Saadani_beach.jpg)
Inaenea katika km2 1062 za Mkoa wa Tanga.