From Wikipedia, the free encyclopedia
Hifadhi ya Taifa ya Goegap ni hifadhi ya nusu jangwa iliyopo kaskazini mwa Cape, Afrika kusini na linakaa katika eneo la kilometa 8 mashariki mwa Springbok.[1] Eneo hilo mwanzoni lilikua linatumika kulishia mifugo mpaka lilipotangazwa kuwa hifadhi mwaka 1966 na kuwekwa uzio 1969 na wanyama pori kuwekwa baada ya apo[2]. Mwanzoni lilikua linajulikana kama hifadhi ya Taifa ya Hester Malan.[3]
Baada ya kuongezwa kwa eneo la hifadhi hiyo, sasa lina ukubwa wa kilometa za mraba 150.[4][5] Jina la Goegap linatokana na neno la khoekhoe likimaanisha "shimo la maji".
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.