Hifadhi ya Mazingira ya Caledon
From Wikipedia, the free encyclopedia
Hifadhi ya Mazingira ya Caledon, iko kilomita 120 kusini-mashariki mwa Bloemfontein kwenye barabara ya R701 katikati ya Wepener na Smithfield katika Jimbo la Free State, Afrika Kusini . Ina ukubwa wa hekta 2,300.