HerodiaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Herodia (kwa Kigiriki Ηρωδιάς, Hērōdiás; (15 KK hivi — baada ya 39 BK) alikuwa mwanamke wa ukoo wa Herode huko Uyahudi chini ya himaya ya Dola la Roma.[1][2] Herodia kadiri ya Paul Delaroche. Sikukuu ya Herode kadiri ya Lucas Cranach the Elder, 1531. Sikukuu ya Herode kadiri ya Peter Paul Rubens. Salome akimkabidhi mamaye kichwa cha Yohane Mbatizaji kadiri ya Juan de Flandes, 1496. Ni maarufu hasa kwa kufanya mpango wa kumuua Yohane Mbatizaji hata akaufanikisha.
Herodia (kwa Kigiriki Ηρωδιάς, Hērōdiás; (15 KK hivi — baada ya 39 BK) alikuwa mwanamke wa ukoo wa Herode huko Uyahudi chini ya himaya ya Dola la Roma.[1][2] Herodia kadiri ya Paul Delaroche. Sikukuu ya Herode kadiri ya Lucas Cranach the Elder, 1531. Sikukuu ya Herode kadiri ya Peter Paul Rubens. Salome akimkabidhi mamaye kichwa cha Yohane Mbatizaji kadiri ya Juan de Flandes, 1496. Ni maarufu hasa kwa kufanya mpango wa kumuua Yohane Mbatizaji hata akaufanikisha.