Henderson, Nevada
From Wikipedia, the free encyclopedia
Henderson, Nevada ni mji wa Marekani katika jimbo la Nevada, takribani maili 16 kusini-mashariki mwa Las Vegas.
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka 2010, mji una wakazi wapatao 258,000 hivi. Ni jiji la pili kwa ukubwa huko Nevada, baada ya Las Vegas.