From Wikipedia, the free encyclopedia
Hamilton ni mji mkubwa wa tatu katika mkoa la Ontario. Kunako mwaka wa 2006, idadi ya wakazi ilikuwa 504,559. Eneo lake ni 227.70 m. Mji upo m 75–324 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Jiji la Hamilton | |
Nchi | Kanada |
---|---|
Mkoa | Ontario |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 504,559 |
Tovuti: www.hamilton.ca |
Jina la mji lilitolewa kwa heshima ya George Hamilton, ambao walianzisha mji.
Mji ulianzishwa mwaka 1846.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hamilton, Ontario kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.