Hagia SophiaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Hagia Sophia ni jina la Kigiriki (Ἅγια Σοφία, yaani "Hekima takatifu"; kwa Kituruki Ayasofya) la kanisa kubwa mjini Istanbul - Konstantinopoli lililobadilishwa kuwa msikiti tangu mwaka 1453 isipokuwa lilipofanywa makumbusho miaka 1934-2020. Hagia Sophia mjini Istanbul Hagia Sophia kwa ndani Mozaiki ya Yesu katika ukuta wa Hagia Sophia
Hagia Sophia ni jina la Kigiriki (Ἅγια Σοφία, yaani "Hekima takatifu"; kwa Kituruki Ayasofya) la kanisa kubwa mjini Istanbul - Konstantinopoli lililobadilishwa kuwa msikiti tangu mwaka 1453 isipokuwa lilipofanywa makumbusho miaka 1934-2020. Hagia Sophia mjini Istanbul Hagia Sophia kwa ndani Mozaiki ya Yesu katika ukuta wa Hagia Sophia