Gordon French
Mhandisi wa Kompyuta / From Wikipedia, the free encyclopedia
Gordon French (Machi 7, 1935 - 26 Oktoba, 2019[1]) alikuwa mhandisi wa kompyuta na mpanga programu kutoka nchini Marekani ambaye alichukua jukumu muhimu katika klabu ya kompyuta ya Homebrew.
Ukweli wa haraka Jinsia, Nchi ya uraia ...
Funga
Mnamo 5 Machi, 1975, Gordon French aliandaa mkutano wa kwanza wa Klabu ya Kompyuta ya Homebrew kwenye karakana yake,[2] huko Menlo Park, San Mateo County, California. Alihudhuria vikao vitatu vya kwanza, lakini alipopewa nafasi katika Utawala wa Hifadhi ya Jamii, akahamia huko Baltimore.[3]