Jimbo la Gombe

jimbo nchini Nigeria From Wikipedia, the free encyclopedia

Jimbo la Gombemap

Jimbo la Gombe liko kaskazini mwa Nigeria, ni mojawapo ya majimbo 36 ya nchi hii; mji mkuu wake ni Gombe.

Maelezo zaidi Mahali lililoko, Takwimu ...
Jimbo la Gombe
Jina la Utani la Jimbo: Mkufu katika Savannah
Mahali lililoko
Thumb
Takwimu
Gavana
(Orodha)
Mohammed Danjuma Goje (PDP)
Tarehi lilipoanzishwa 1 Oktoba 1996
Mji mkuu Gombe
Eneo 18,768 km²
Kuorodheshwa-21
Idadi ya Watu 2006 makadirio Limeorodheshwa nambari 33
2,353,000
GDP (PPP)
 -Jumla
 -Per Capita
2007 (kadirio)
$ 2.50 bilioni [1]
$1,036[1]
ISO 3166-2 NG-GO
Funga
Thumb
Mahali pa Gombe katika Nigeria

Jimbo la Gombe, ambalo jina lake la utani ni 'Mkufu katika Savannah', liliundwa Oktoba 1996 kutoka katika sehemu ya kale ya Jimbo la Bauchi na serikali ya kijeshi ya Abacha. Jimbo hili lina ukubwa wa eneo la 20,265 km ² na jumla ya idadi ya watu karibu 2,353,000 kulingana na 2006. [2] Kati ya idadi yote ya watu, takriban 7.8% ni wameambukizwa HIV[3]

Maeneo ya utawala

Gombe imegawanywa katika Maeneo ya Serikali za Mitaa takribani kumi na moja. Nayo ni:

  • Akko
  • Balanga
  • Billiri
  • Dukku
  • Funakaye
  • Gombe
  • Kaltungo
  • Kwami
  • Nafada
  • Shongom
  • Yamaltu/Deba

Takwimu za watu

Wakaazi wa Jimbo la Gombe ni haswa watu wa kabila la Fulani.

Marejeo

Viungo vya nje

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.