Ghazaouet
Mji na jamii ya watu nchini Algeria / From Wikipedia, the free encyclopedia
Ghazaouet ni mji na manispaa katika wilaya ya Tlemcen, kaskazini magharibi mwa Algeria. Hapo zamani uliitwa Nemours. Hujulikana sana kwa samaki wake safi
Kulingana na sensa ya mwaka 2008 mji huo una idadi ya watu 33,774[1]. Makadirio ya idadi ya watu inasemekana kuwa karibu elfu 40 na nakuendelea. [onesha uthibitisho]
Mchekeshaji maarufu wa Algeria Abdelkader Secteur ni mkazi wa mji huo.