Gerimani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Gerimani ni elementi yenye namba atomia 32 kwenye jedwali la elementi, uzani atomia ni 72,630. Alama yake ni Ge.
Ukweli wa haraka Gerimani ...
Gerimani | |
---|---|
Jina la Elementi | Gerimani |
Alama | Ge |
Namba atomia | 32 |
Mfululizo safu | Simetali |
Uzani atomia | 72.64 |
Valensi | 2 na 4 |
Ugumu (Mohs) | {{{ugumu}}} |
Kiwango cha kuyeyuka | 1211.40 K (938.25 °C) |
Kiwango cha kuchemka | 3106 K (2833 °C) |
Asilimia za ganda la dunia | 6 · 10-4 % |
Hali maada | mango |
Funga