From Wikipedia, the free encyclopedia
Georges Jacques Danton (26 Oktoba 1759 – 5 Aprili 1794) alikuwa mwanasiasa kipindi cha Mapinduzi ya Ufaransa. Alikuwa Rais wa kwanza katika Kamati ya usalama wa umma. Ni mwanzilishi wa kikundi kijulikanacho kama Uongozi wa Ugaidi.
Georges Danton | |
Kwa mujibu wa mwandishi wa biografia, "Danton alikuwa na uerfu mkubwa, ambao hufaa kwenye riadha, sifa zake zimewekwa wazi, hazipendekezi, na hazipendezi; sauti yake ilikuwa nzito ya kuweza kutikisa kuta nyumba".[1] | |
Rais wa Kamati ya Usalama wa Umma | |
Msimamizi wa Idara ya Paris | |
Member of the National Convention | |
tarehe ya kuzaliwa | Arcis-sur-Aube, France | 26 Oktoba 1759
---|---|
tarehe ya kufa | 5 Aprili 1794 (umri 34) Paris, France |
utaifa | French |
chama | Cordeliers Club |
Fani yake | Mwanasheria and Mwanasiasa |
dini | Mkristu |
signature |
Uongozi wa Ugaidi ulianza mwaka 1793 na kukoma mwaka 1794. Wakati wa Utawala wa Ugaidi, Danton alibadili mawazo yake: Alisema kuwa kuendelea na Utawala wa Ugaidi kulikuwa wazo baya, lakini watu wengine hawakukubaliana naye. Danton alishtakiwa kwa uhaini na kuhukumiwa akatwe kichwa kwa mashine maalum ya kunyongea (guillotine).