![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/8/87/20180610_FIFA_Friendly_Match_Austria_vs._Brazil_Gabriel_Jesus_850_1688.jpg/640px-20180610_FIFA_Friendly_Match_Austria_vs._Brazil_Gabriel_Jesus_850_1688.jpg&w=640&q=50)
Gabriel Jesus
mchezaji wa mpira wa miguu wa chama cha brazili / From Wikipedia, the free encyclopedia
Gabriel Fernando Jesus, alizaliwa 3 Aprili 1997[1][2] ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye anacheza katika klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Arsenal na timu ya Taifa ya Brazil. Gabriel anacheza kama mshambuliaji katika ngazi ya klabu na katika timu ya Taifa.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/8/87/20180610_FIFA_Friendly_Match_Austria_vs._Brazil_Gabriel_Jesus_850_1688.jpg/640px-20180610_FIFA_Friendly_Match_Austria_vs._Brazil_Gabriel_Jesus_850_1688.jpg)
Jesus, alianza kazi yake huko Palmeiras. Alipigiwa kura kuwa mgeni bora wa 2015 katika michuano ya Brazil na Serie A, mwaka ambao pia alisaidia timu yake kushinda Copa do Brasil.
Mwaka uliofuata aliitwa kuwa mchezaji wa msimu huko Palmeiras, alishinda cheo cha kwanza cha ligi ya kitaifa akiwa na miaka 22[3][4]. Alijiunga na Manchester City mwezi Januari 2017 kwa ada ya € milioni 32, na alishinda Ligi Kuu na EFL Cup mwaka 2018.[5]