![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/f/fb/Madeira_19_2014.jpg/640px-Madeira_19_2014.jpg&w=640&q=50)
Funchal
From Wikipedia, the free encyclopedia
Funchal ni makao makuu wa visiwa vya Madeira ikiwa kwenye kisiwa kikuu kinachoitwa Madeira pia. Vilevile makao makuu ya wilaya ya Funchal. Madeira ni funguvisiwa la Kireno katika sehemu ya Kiafrika ya Atlantiki.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/f/fb/Madeira_19_2014.jpg/640px-Madeira_19_2014.jpg)
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Funchal | |||
| |||
Majiranukta: 32°39′04″N 16°54′35″E | |||
Nchi | Ureno | ||
---|---|---|---|
Mkoa | Madeira | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 100,847 | ||
Tovuti: http://www.cm-funchal.pt/cmf/ |
Funga
Maana ya neno "funchal" ni "shamari" - kwa sababu shamari ilipatikana kwa wingi wakati Wareno walipofika kisiwani mara ya kwanza.
Mji una wakazi 45,000; ni zaidi ya lakhi moja pamoja na mitaa ya nje. Funchal ilikua pamoja na utalii wa watu tajiri. Kuna chuo kikuu "Universidade da Madeira".
Wilaya ya Funchal ina visiwa vya Porto Santo, Ilhas Desertas na Ilhas Selvagens pamoja na Madeira yenyewe.