Eustoji II
From Wikipedia, the free encyclopedia
Eustoji II (alifariki 518 hivi) alikuwa Askofu wa mji huo, Italia Kaskazini kuanzia 512 hadi kifo chake.
Aking’aa kwa moyo wa ibada, haki na juhudi za kichungaji, alijenga batizio maarufu.[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.