From Wikipedia, the free encyclopedia
Marshall Bruce Mathers III (anafahamika zaidi kama Eminem na Slim Shady; amezaliwa 17 Oktoba 1972) ni mshindi wa tuzo ya Academy na tuzo nyinginyingi za Grammy-msanii bora wa muziki wa rap wa Kimarekani. Amewahi kuuza albamu zake zaidi ya milioni sabini kwa hesabu ya dunia nzima.
Eminem | |
---|---|
| |
Jina Kamili | {{{jina kamili}}} |
Jina la kisanii | Eminem |
Nchi | Marekani |
Alizaliwa | 17 Oktoba 1972 |
Aina ya muziki | Hip Hop Gangsta Rap Midwest Hip Hop Detroit Hip Hop Horrorcore Hardcore Hip Hop Rapcore |
Kazi yake | Rapa Mwigizaji Mtayarishaji |
Miaka ya kazi | 1995-hadi leo |
Ameshirikiana na | D12 Dr. Dre The Alchemist T.I. 50 Cent Stat Quo Bobby Creekwater Cashis Akon Obie Trice |
Ala | Sauti Kinanda |
Kampuni | Mashin' Duck Web Aftermath Interscope Shady |
Pia ni miongoni mwa wanamuziki waliokuwa na mauzo ya juu kabisa katika kipindi cha miaka ya 2000. Kuimba kwake kisela-sela na kuihusia jamii ya watu wa chini kumemfanya pia awe na mauzo ya juu na kuwa kama msanii bora wa muda wote. Eminem aligunduliwa na rappa vilevile mtayarishaji wa muziki wa Kimarekani Bw. Dr. Dre, ambaye baadaye alimwingiza Eminem katika studio yake ya kurekodia muziki-Aftermath Entertainment.
Eminem ana albamu 7 ambazo ziko chini yake na zilitolewa dunia nzima. Albamu hizo ni:
Kwa sasa anafanyia kazi albamu mpya iitwayo:
Vilevile alitoa albamu mbili alizoshrikiana na kikundi chake cha muziki cha D12:
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Eminem kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.