From Wikipedia, the free encyclopedia
Elwyn Brooks White (11 Julai 1899 – 1 Oktoba 1985) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Hasa aliandika insha kwa gazeti la The New Yorker. Mwaka wa 1978, alipokea Tuzo ya Pulitzer kwa miandiko yake kwa jumla.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Elwyn Brooks White kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.