Ellesse Andrews
From Wikipedia, the free encyclopedia
Ellesse Andrews (alizaliwa 31 Desemba 1999) ni mshiriki wa mchezo wa mbio za baiskeli kutoka nchini New Zealand. Alishindana katika Michezo ya Olimpiki ya majira ya joto 2020, na kushinda medali ya fedha kwa upande wa wanawake.[1]
Aliiwakilisha nchi yake katika michezo ya jumuia ya madola ya 2018 na Olimpiki ya majira ya joto 2020[2],na kunyakua medali ya fedha huko kierin.[3]