Edward Lewis

From Wikipedia, the free encyclopedia

Edward Lewis (20 Mei, 191821 Julai, 2004) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza jeni za nzi. Mwaka wa 1995, pamoja na Christiane Nüsslein-Volhard na Eric Wieschaus, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edward Lewis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.