DresdenFrom Wikipedia, the free encyclopedia Dresden ni mji mkuu wa jimbo la Saksonia katika Ujerumani mwenye wakazi 484,700. Uko kando la mto Elbe. Majengo mazuri ya Dresden yalitengenezwa upya baada ya maangamizi ya 1945 Mahali pa Dresden katika Ujerumani
Dresden ni mji mkuu wa jimbo la Saksonia katika Ujerumani mwenye wakazi 484,700. Uko kando la mto Elbe. Majengo mazuri ya Dresden yalitengenezwa upya baada ya maangamizi ya 1945 Mahali pa Dresden katika Ujerumani