Daniel Edward Mtuka
From Wikipedia, the free encyclopedia
Daniel Edward Mtuka ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Manyoni Mashariki kwa miaka 2015 – 2020. [1]