![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/d/df/Coconut_drink.jpg/640px-Coconut_drink.jpg&w=640&q=50)
Dafu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Dafu ni nazi ambayo haijakomaa hadi hali ya koroma, hivyo majimaji yake ni mazito zaidi na yanatumika kama kinywaji.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/d/df/Coconut_drink.jpg/640px-Coconut_drink.jpg)
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/5/52/Fresh_coconut_water.jpg/320px-Fresh_coconut_water.jpg)
Katika mazingira mbalimbali maji ya dafu hutumika pia kama dawa, kwa mfano kwa mtu mwenye kisukari, tumbo la kuhara au upungufu wa homoni, hususan zile zinazotengenezwa na kongosho kwa ajili ya kuuongezea mwili nguvu. Hata hivyo hakuna uthibitisho wa kisayansi.
Pia dafu hutumika kama kinywaji cha kutengeneza sauti kwa watoto wachanga ili waje kuwa waongeaji.
Hivyo dafu lina umuhimu, ila kama tunavyojua kilichozidi kina madhara, ndivyo ilivyo hadi kwenye dafu kuna madhara ukinywa kwa wingi mno: kwa mfano huko India wananywesha wazee wagonjwa lita kadhaa za maji hayo hadi wakafa.