Nazi (tunda)From Wikipedia, the free encyclopedia Nazi ni tunda la mbegu la mnazi. Ina ganda la nje, ganda ngumu au mfuu wa ndani, nyama ya mbegu na utomvu ndani ya uwazi wa mbegu. Picha ya mnazi na tunda lake la nazi Nyuzi zinaondolewa katika ganda la nazi (Sri Lanka) Kutengeneza mikeka kutoka nyuzi za nazi (Sri Lanka) Nazi mtini zikiiva Ina matumizi mengi katika maisha ya binadamu.
Nazi ni tunda la mbegu la mnazi. Ina ganda la nje, ganda ngumu au mfuu wa ndani, nyama ya mbegu na utomvu ndani ya uwazi wa mbegu. Picha ya mnazi na tunda lake la nazi Nyuzi zinaondolewa katika ganda la nazi (Sri Lanka) Kutengeneza mikeka kutoka nyuzi za nazi (Sri Lanka) Nazi mtini zikiiva Ina matumizi mengi katika maisha ya binadamu.