Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
Chuo Kikuu nchini Tanzania / From Wikipedia, the free encyclopedia
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (kwa Kiingereza: Open University of Tanzania) ni chuo kikuu kinachotoa kozi za cheti, stashahada na shahada kupita masomo ya mbali (Distance Learning). Makao makuu yako Dar es Salaam, Tanzania. Chuo Kikuu Huria kina takribani wanafunzi 70,000 kutoka ngazi mbalimbali za kitaaluma.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/ca/Out_Logo.jpg/220px-Out_Logo.jpg)