Chris Tucker
Muigizaji na mcheshi wa Marekani / From Wikipedia, the free encyclopedia
Christopher Tucker (amezaliwa 31 Agosti 1971) ni mwigizaji na mchekeshaji kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kucheza uhusika wa Smokey kwenye filamu ya Friday na kama Mpelelezi James Carter kwenye mfululizo wa filamu za Rush Hour. Tucker amekuwa mtumbuizaji wa uchekeshaji-wima mara kwa mara kwenye Def Comedy Jam katika miaka ya 1990. Vilevile amepata kuonekana kwenye The Fifth Element ya Luc Besson, Jackie Brown ya Quentin Tarantino, Silver Linings Playbook ya David O. Russell na Money Talks.
Ukweli wa haraka Jina la kuzaliwa, Amezaliwa ...
Chris Tucker | |
---|---|
Tucker in March 2012 | |
Jina la kuzaliwa | Christopher Tucker |
Amezaliwa | Agosti 31 1971 (1971-08-31) (umri 52)[1] Atlanta, Georgia, Marekani |
Aina | Blue comedy, black comedy, insult comedy, observational comedy |
Ndoa | Bi. Matthews mwalimu katika shule ya SMAMS |
Wavuti | Official website |
Funga