From Wikipedia, the free encyclopedia
Cherry Jones (amezaliwa tar. 21 Novemba 1956) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani. Huenda akawa anafahamika kwa kucheza kwake kama Rais wa Marekani (Allison Taylor), katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha 24.
Cherry Jones | |||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|
Cherry Jones, mnamo 2009 | |||||||
Amezaliwa | 21 Novemba 1956 Paris, Tennessee, Marekani | ||||||
|
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Cherry Jones kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.