![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/1/10/Cheb_Mami_en_1986.jpg/640px-Cheb_Mami_en_1986.jpg&w=640&q=50)
Cheb Mami
From Wikipedia, the free encyclopedia
Ahmed Khelifati Mohamed (Kiarabu: أحمد خليفاتي محمد, aḥmad khalīfātī muḥammad; anajulikana zaidi kwa jina lake la kisanii kama Cheb Mami (Kiarabu: شاب مامي, shābb māmī; amezaliwa mjini Saïda, Algeria, 11 Julai 1966) ni mwimbaji wa muziki wa rai kutoka nchini Algeria.
Ukweli wa haraka Taarifa za awali, Jina la kuzaliwa ...
Cheb Mami | |
---|---|
![]() | |
Taarifa za awali | |
Jina la kuzaliwa | Mohamed Khelifati |
Amezaliwa | 1966 |
Kazi yake | Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo |
Funga
Anaimba na kuongea vizuri kabisa kwa Kiarabu cha Algeria na kwa Kifaransa.