From Wikipedia, the free encyclopedia
Jina la kisanii ni jina la mburudishaji kama vile nyota wa filamu au mwanamuziki. Jina linachukua nafasi baada ya jina kamili la kuzaliwa. Pia, wasanii wanaweza kupenda majina yao ya kisanii kuliko majina yao ya kuzaliwa kwa sababu ni rahisi kwa mshabiki kukumbuka.
Wanamieleka wenyetaaluma, nao hutumia majina ya kisanii. Lakini wao wanatumia tofauti kidogo na wa muziki au filamu - wao huita "Ring name" yaani "Jina la ulingoni".
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jina la kisanii kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.