![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/e/e5/Charlize_Theron_Cannes_2015_2.jpg/640px-Charlize_Theron_Cannes_2015_2.jpg&w=640&q=50)
Charlize Theron
Ni mwigizaji na mtayarishaji wa filamu Afrika Kusini Amerika / From Wikipedia, the free encyclopedia
Charlize Theron (amezaliwa Benoni, Gauteng, Afrika Kusini, 7 Agosti 1975) ni mwigizaji wa filamu na mwanamitindo wa zamani wa Kiafrika Kusini-Kimarekani. Huenda akawa anafahamika kwa jina la Stella Bridger kutoka katika filamu ya The Italian Job, Aileen Wuornos kutoka katika filamu ya Monster, ambayo ilimwezesha kujipatia Tuzo ya Academy.
Ukweli wa haraka Amezaliwa, Miaka ya kazi ...
Charlize Theron | |
---|---|
![]() Charlize Theron akiwa kwenye sherehe ya 2015 Cannes Film Festival | |
Amezaliwa | Charlize Theron Benoni Afrika Kusini |
Miaka ya kazi | 1995 ā hadi sasa |
Tovuti rasmi |
Funga