Charity NgiluMwanasiasa wa Kenya / From Wikipedia, the free encyclopedia Charity Kaluki Ngilu (alizaliwa mnamo mwaka 1952) ni gavana wa Kaunti ya Kitui. Alikuwa waziri wa afya katika serikali ya rais Mwai Kibaki kuanzia mwaka 2002 hadi 2007. Charity Ngilu.
Charity Kaluki Ngilu (alizaliwa mnamo mwaka 1952) ni gavana wa Kaunti ya Kitui. Alikuwa waziri wa afya katika serikali ya rais Mwai Kibaki kuanzia mwaka 2002 hadi 2007. Charity Ngilu.