Celeste Headlee
From Wikipedia, the free encyclopedia
Celeste Headlee (alizaliwa Desemba 30, 1969) ni mtangazaji wa redio, mwandishi wa majarida mbalimbali, mzungumzaji kwenye hadhara tofauti nchini Marekani.
Celeste Headlee | |
---|---|
Amezaliwa | Celeste Headlee 30 December 1969 Marekani |
Kazi yake | mtangazaji wa redio |
Akiwa na umri wa miaka 20, katika kazi zake za utangazaji wa redio, alikuwa ameshawahi kufanya kipindi mfululizo na shirika kubwa la utangazaji wa umma la Georgia kijulikanacho kama, "On Second though"[1][2] na kuwa mwenyeji wa kipindi cha asubuhi cha taifa kijulikanacho kama , "The takeaway". Kabla ya mwaka 2009, aliwahi kuwa mwandishi wa midwest cha NPR siku baada ya siku na kuwa mwenyeji wa mtiririko wa vipindi vya wiki katika maonyesho ya Radio ya taifa ya Dertroit. Pia Headlee ni mwandishi wa kitabu "We Need to Talk: How to Have Conversation That Matter" (Harper Wave, September 19, 2017).