Cabo Verde
From Wikipedia, the free encyclopedia
Cabo Verde (Kiingereza: Cape Verde) ni nchi ya visiwa katika bahari ya Atlantiki mbele ya pwani ya Afrika ya Magharibi.
Ukweli wa haraka Jamhuri ya Cabo Verde, Mji mkuu na mkubwa nchini ...
Jamhuri ya Cabo Verde | |
---|---|
República de Cabo Verde (Kireno) | |
Kaulimbiu ya taifa: Unidade, Trabalho, Progresso (Kireno) "Umoja, Kazi, Maendeleo" | |
Wimbo wa taifa: Cântico da Liberdade (Kireno) "Mkarara wa Uhuru" | |
Mahali pa Cabo Verde | |
Ramani ya Cabo Verde | |
Mji mkuu na mkubwa nchini | Praia 20°54′ N 156°22′ W |
Lugha rasmi | Kireno Kikaboverde |
Serikali | Jamhuri |
• Rais • Waziri Mkuu | José Maria Neves Ulisses Correia e Silva |
Eneo | |
• Eneo la jumla | km2 4 033[1] |
Idadi ya watu | |
• Kadirio la 2023 | 603 901[1] |
Pato la taifa | Kadirio la 2023 |
• Jumla | USD bilioni 2.598[2] |
• Kwa kila mtu | USD 4 503[2] |
Pato halisi la taifa | Kadirio la 2023 |
• Jumla | USD bilioni 5.717[2] |
• Kwa kila mtu | USD 9 909[2] |
Maendeleo (2021) | 0.662[3] - wastani |
Sarafu | Escudo ya Cabo Verde |
Funga