Caja de Muertos
From Wikipedia, the free encyclopedia
Caja de Muertos ni kisiwa cha bahari ya Karibi karibu na Puerto Rico. Ni mali ya Marekani.
Kina eneo la kilometa mraba 1,54 na hakina wakazi.