Bweha au mbweha ni mojawapo wa wanyama wadogo kiasi wa familia Canidae wanaopatikana Afrika, Amerika, Asia na Ulaya na walioainishwa katika jenasi Canis, Cerdocyon, Lycalopex, Otocyon, Urocyon na Vulpes.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Bweha |
Bweha mgongo-mweusi (Canis mesomelas) |
Uainishaji wa kisayansi |
Himaya: |
Animalia (Wanyama)
|
Faila: |
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
|
Nusufaila: |
Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
|
Ngeli: |
Mammalia Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha watoto wao)
|
Oda: |
Carnivora (Wanyama mbua)
|
Nusuoda: |
Caniformia (Wanyama kama mbwa)
|
Familia: |
Canidae (Wanyama walio na mnasaba na mbwa) Fischer, 1817 |
|
Ngazi za chini |
Jenasi 6; spishi 10 katika Afrika:
- Canis Linnaeus, 1758
- C. adustus Sundevall, 1847
- C. anthus Cuvier, 1820
- C. mesomelas Schreber, 1775
- Cerdocyon C.E.H. Smith, 1839
- Lycalopex Burmeister, 1854
- Otocyon Müller, 1836
- O. megalotis (Desmarest, 1822)
- Urocyon Baird, 1857
- Vulpes A. Frisch, 1775
- V. cana Blanford, 1877
- V. chama (Smith, 1833)
- V. pallida (Cretzschmar, 1827)
- V. rueppellii (Schinz, 1825)
- V. vulpes (Linnaeus, 1758
- V. zerda (Zimmermann, 1780)
|
Funga
Spishi za bweha katika jenasi Canis zina mnasaba sana na mbwa-mwitu. Kwa ukweli, siku hizi Canis anthus na Canis aureus zinafikiriwa kuwa mbwa-mwitu[1][2], lakini kwa sasa jina "bweha" litadumishwa kwa sababu linatumika sana.
Kwa muda mrefu, usasi wa bweha umeonekana kwamba umejikita mizizi tu kwa wazungu ambako wao huchukua mbwa na farasi na kwenda huku wakiwawinda bweha. Hili limebadilika huku hata Waafrika wakiwawinda bweha.
Mbwa wawinda-bweha huweza kutumia hisia na kuwawinda bweha wekundu. Tendo hili la kuwawinda bweha limezua hisia tofauti huku wengi wakiliona kana kwamba lamfanya bweha awe matatani kulingana na hariri la Wild Hunter Club Archived 13 Novemba 2017 at the Wayback Machine..
- Canis adustus, Bweha Miraba (Side-striped jackal)
- Canis anthus, Bweha Dhahabu, Bweha-mbuga au Mbwa-mwitu Dhahabu wa Afrika (African golden wolf)
- Canis a. algirensis, Bweha Kaskazi au Mbwa-mwitu wa Aljeria (Algerian wolf)
- Canis a. anthus, Bweha au Mbwa-mwitu wa Senegali (Senegalese wolf)
- Canis a. bea, Bweha Mashariki au Mbwa-mwitu wa Serengeti (Serengeti wolf)
- Canis a. lupaster, Bweha au Mbwa-mwitu wa Misri (Egyptian wolf)
- Canis a. riparius, Bweha au Mbwa-mwitu Somali (Somali wolf)
- Canis a. soudanicus, Bweha wa Sudani au Mbwa-mwitu Mabaka (Variegated wolf)
- Canis mesomelas, Bweha Mgongo-mweusi au Bweha Shaba (Black-backed jackal)
- Otocyon megalotis, Bweha Masikio (Bat-eared fox)
- Vulpes cana, Bweha wa Blanford (Blanford's fox)
- Vulpes chama, Bweha Kusi (Cape fox)
- Vulpes pallida, Bweha wa Saheli (Pale fox)
- Vulpes rueppelli, Bweha wa Rüppell (Rüppell's fox)
- Vulpes vulpes, Bweha Mwekundu (Red Fox)
- Vulpes v. barbara, Bweha Mwekundu wa Barbari (Barbary Fox)
- Vulpes v. niloticus, Bweha Mwekundu wa Misri (Nile Fox)
- Vulpes zerda, Feneki au Bweha-jangwa (Fennec)
Bweha miraba
Bweha wa Senegali
Bweha mashariki
Bweha wa Misri
Bweha masikio
Bweha wa Blanford
Bweha kusi
Bweha wa Saheli
Bweha wa Rüppell
Bweha mwekundu
Bweha jangwa au feneki
Golden jackal
Crab-eating fox
Culpeo
Darwin's fox
Argentine grey fox
Pampas fox
Sechuran fox
Hoary fox
Grey fox
Island fox
Bengal fox
Corsac fox
Arctic fox
Kit fox
Swift fox
Koepfli, K.-P.; Pollinger, J.; Godinho, R.; Robinson, J.; Lea, A.; Hendricks, S.; Schweizer, R. M.; Thalmann, O.; Silva, P.; Fan, Z.; Yurchenko, A. A.; Dobrynin, P.; Makunin, A.; Cahill, J. A.; Shapiro, B.; Álvares, F.; Brito, J. C.; Geffen, E.; Leonard, J. A.; Helgen, K. M.; Johnson, W. E.; O'Brien, S. J.; Van Valkenburgh, B.; Wayne, R. K. (2015-08-17). "Genome-wide Evidence Reveals that African and Eurasian Golden Jackals Are Distinct Species". Current Biology. 25: 2158–65. doi:10.1016/j.cub.2015.06.060. PMID 26234211.