![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/d/d5/Bukavu_centre_ville.png/640px-Bukavu_centre_ville.png&w=640&q=50)
Bukavu
Ni mji wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo uliopo upande wa kusini magharibi mwa pwani ya Ziwa Kivu na mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kusini.Mji una wakazi 806,940. / From Wikipedia, the free encyclopedia
Bukavu (zamani: Costermansville, Costermansstad) ni mji wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo uliopo upande wa kusini magharibi mwa pwani ya Ziwa Kivu na mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kusini.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/d/d5/Bukavu_centre_ville.png/640px-Bukavu_centre_ville.png)
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Bukavu | |
Mahali pa mji wa Bukavu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
|
Majiranukta: 2°30′0″S 28°52′0″E | |
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
---|---|
Mkoa | Kivu kusini |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 806,940 |
Funga
Mji una wakazi 806,940.