Keki ya kitamaduni ya Morocco From Wikipedia, the free encyclopedia
Briouat au briwat (Kiarabu: البروات) ni keki tamu. Ni sehemu ya vyakula vya Morocco.[1] [2][3]Briouats hujazwa na nyama (hasa kuku au kondoo) au samaki na uduvi, iliyochanganywa na jibini, ndimu na pilipili. Wamefungwa kwenye warqa (unga wa karatasi-nyembamba) katika umbo la pembe tatu au duara. Briousat pia inaweza kuwa tamu, ikiwekwa na mlozi au karanga za kusaga na kukaanga, kisha zinazamishwa kwenye asali ya joto iliyotiwa maji ya maua ya machungwa.
Briouat hukaangwa au kuokwa na kisha kunyunyiziwa viungo na wakati mwingine sukari ya unga
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.