Boston Celtics
Timu ya Chama cha Mpira wa Kikapu Marekani NBA yenye makao yake mjini Boston / From Wikipedia, the free encyclopedia
Boston Celtics ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Boston, Massachusetts. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Kemba Walker.
Ukweli wa haraka
Boston Celtics | |
![]() | |
Ukanda | Eastern Conference |
Daraja | Atlantic Division |
Imeanzishwa | 1946 |
Historia | Boston Celtics (1946–) |
Uwanja | TD Garden |
Mji | Boston, Massachusetts |
Rangi ya timu | Green White Black |
Mmiliki | |
Meneja mkuu | Wycliffe "Wyc" Grousbeck Stephen Pagliuca H. Irving Grousbeck |
Kocha mkuu | Brad Stevens |
D-League affiliate | Maine Red Claws |
Ubingwa | 17 (1957, 1959, 1960, 1961, 1962, 1963, 1964, 1965, 1966, 1968, 1969, 1974, 1976, 1981, 1984, 1986, 2008) |
Mataji ya ukanda | 20 (1957, 1958, 1959, 1960, 1961, 1962, 1963, 1964, 1965, 1966, 1968, 1969, 1974, 1976, 1981, 1984, 1985, 1986, 1987, 2008) |
Mataji ya daraja | |
Tovuti rasmi | nba.com/celtics |
Funga